HATIMAYE AZIZI KI APEWA THANK YOU YANGA
#FutureMEDIAUpdate
Hatimaye Aziz Ki Apewa
Thank You Yanga SC
Baada ya Wydad AC kutangaza kuwa imekamilisha usajili wa wachezaji watatu hii leo Nordin Amrabat, Hamza Hanouri
pamoja na Aziz Ki ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027, hatimaye Klabu ya Yanga SC imetangaza kuachana na Aziz Ki kwa kumpa Asante "Thank you"
Aidha Aziz Ki nae ameishukuru WanaYanga kwa mchango wao na nyakati zote walizokuwa pamoja ikiwemo kubeba makombe na kumpatia mke mzuri.
Comments