KESHO-FADLU DAVIS
MICHEZO "Hii confidence nimeipata miezi 10 iliyopita nilipotua katika ardhi hii ya Tanzania na kuona shauku ya mashabiki wa Simba katika soka la Afrika"
"Tuna ndoto hivyo lazima tuamini kuwa tutaenda kufanya vizuri katika mchezo wa kesho"
Najua Berkane watakuja uwanjani kwa lengo la kuupoozesha mchezo kutokana na matokeo waliyotapata hapo awali lakini na sisi tutapambana kuhakikisha mchezo unakuwa upande wetu" Fadlu Davids kocha mkuu Simba SC
Aidha amesema kwamba,mchezo wa mkondo wa kwanza wameuchukua kama somo kuelekea mchezo wa kesho.Ni kuelekea fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) mchezo wa mkondo wa pili.
#CAFCC #FutureMEDIAUpdate
Comments