MAHABUSU AKITOA MAELEKEZO KWA MAWAKILI WAKE.
Mahabusu akitoa maelekezo kwa Mawakili wake. Kaka yake (Sr. Adv. Alute Mghwai) anamuangalia mdogo wake kwa tafakuri. Sidhani kama hata anamsikiliza. Unadhani hapa anajisemea nini kichwani mwake? Mimi nadhani anasema “Dogo anapambana sana. Au Baba hakuuza ng’ombe kupeleka ng’ombe shuleni”.

Comments