RSB HATUPO TAYARI KUPOTEZA FAINALI MBILI MFULULIZO

 


#MICHEZO 

Tunafurahi kucheza mchezo huu dhidi ya Simba SC na mchezo wa kesho hautakuwa rahisi kwa timu zote mbili."

Mwaka jana tulipoteza kombe dhidi ya Zamalek, mchezo ambao umetupa uzoefu mkubwa na hatutakuwa tayari kupoteza fainali ya pili mfululizo" Moïne Chaâbani-Kocha RS Berkane.

Comments