KAMATI YA UCHAGUZI TFF HAIPO HURU-ALOYCE KOMBA

 Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likiendelea, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili Aloyce Komba, akizungumza na Clouds FM amesema Kamati ya Uchaguzi haipo huru kutokana na mazingira ya ufanyaji kazi kutokuwa katika msingi ulionyooka


Ikumbukwe Kamati ya Uchaguzi ya TFF imetangaza Uchaguzi huo utafanyika Agosti 16, 2025, Jijini Tanga huku nafasi zinazowaniwa zikiwa ni za Rais (Nafasi 1) na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji (Nafasi 6)


Comments