MAANDAMANO MAKUBWA YAMEIBUKA KENYA KUPINGA KIFO CHA ALBERT OJWANG
Mapema hii leo vijana katika viunga vya mji mkuu wa Kenya, Nairobi wakinishikiza kupatikana kwa haki kufuatia kifo cha Abert Ojwang ambaye alipoteza maisha katika kituo cha polisi mjini Nairobi.
Kifo cha kijana huyo kimeibua simanzi nzito nchini humo na tayari vyombo vya usalama nchini vinafanya uchunguzi wa kilichotokea. Hapo jana Rais William Ruto alitoa agizo la kufanyika kwa uchunguzi wa kina.
Unafikiri nini kifanyike kwa matukio kama haya?
#Kenya#dwkiswahilipodcast #nairobi #Maandamano
Comments