MATAIFA 7 YA AFRIKA MAARUFU KUINGIA MAREKANI
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini agizo linalopiga marufuku raia wa Mataifa 12 yakiwemo mataifa 7 ya Afrika kuingia nchini humo kwa kile walichokisema kuwa kufanya hivyo ni kulinda usalama wa Taifa la Marekani.
Mataifa ya Afrika yaliyopigwa marufuku hiyo ni pamoja na:👇
Somalia 🇸🇴
Sudan 🇸🇩
Chad 🇹🇩
Eritrea 🇪🇷
Libya 🇱🇾
Congo (Brazzaville) 🇨🇬
Mataifa mengine 3 ya Afrika ambayo ni Burundi 🇧🇮
Comments