YUKO WAPI FOUNDER TZ?

Kijana wetu alikuja namoto sana na akatoa ngoma kalikali mno licha yakwamba alikua shule anasoma ila kwasasa yapata miezi Takriban 6 Tangu aachie wimbo wake wa mwisho "SITAKI" Tangu hapo hasikiki tena na Hata mitandaoni ayupo ACTIVE swali ni nini kimemkuta kijana?

Comments