YUKO WAPI LAVALAVA?
Lava Lava bado kimya tangu kuondoka Wasafi, mashabiki watamani kazi mpya
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Tanzania, Lava Lava, amekuwa kimya kwa muda mrefu tangu alipotangaza kuondoka kwenye lebo ya muziki ya WCB Wasafi.
Kupitia safari yake ya muziki, Lava Lava amewahi kuvuma kwa tungo zenye hisia kali na ujumbe wa mapenzi, jambo lililomfanya kuwa kipenzi cha mashabiki wengi nchini. Licha ya ukimya wake wa sasa, wengi bado wanazikumbuka nyimbo zake zilizowagusa kwa namna ya kipekee.
Je, unamkumbuka Lava Lava kupitia wimbo gani?
Andika maoni yako...
✍️ Jeremia emanuel
Comments