Skip to main content

Posts

Featured post

JOB NDUGAI AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 06,2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu Hospitalini baada ya kuugua ghafla. Ndugai amekuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 alipojiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa nafasi ambayo ameendelea kuitetea kwa kuchukua fomu tena mwaka huu ambapo ameshinda kwenye kura za maoni. Ndugai ambaye amezaliwa January 22,1960 alishinda kura za maoni za Ubunge wa Jimbo la Kongwa kwa kupata kura 5690.  

Latest Posts

MUME AMNUNIA MKE WAKE KWA MIAKA 20,BAADA YA MKE WAKE KUMUUDHI

YUKO WAPI LAVALAVA?

SHANGA ZAKUTWA MAKABULINI MBEYA

JORDAN UNIVERSITY COLLEGE(JUCO),Yaadhimisha Miaka Sita ya Ushirikiano na Chuo Kikuu cha Fu Jen, Taiwan

RASMI NDOA YA NOUMA NA SIMBA IMEFUNJIKA

AFARIKI DUNIA WAKATI AKICHEZA MCHEZO WA KUCHAPANA NA KAKA YAKE

SEMINA YA UJUZI KWA VIJANA 15/7

DIEGO JOTA AFARIKI DUNIA KWA AJARI YA GARI.

TISHIO LA SUMU KWA LISSU.CHADEMA YATAKA UCHUNGUZI HURU NA KAULI RASMI YA SERIKALI

GTI: Kampeni ya Kitaifa ya Kijani Inayoibadili Tanzania Kwa Vitendo"